Mwanamuziki Vairas Mdudu Ameachia Ep itwayo Ukubwa Jalala Ep hii imebeba maudhui ya mziki wa singeli pekee ambayo amefanya mchanganyiko wa singeli raza na bakola Ep ina Jumla ya Nyimbo 6 ndani ya hii Ep Mwanamuziki Vairas Mdudu amejaribu Kuzungumzia Maisha pamoja na changamoto za utafutaji pamoja na mapenzi Karibu Kusikiliza na Kudownload
1: Vairas Mdudu Ft Chembe Ze Don – Ukubwa jalala | Download
2: Vairas Mdudu – Dada Binamu | Download
3: Vairas Mdudu – Kapiga Konda | Download
4: Vairas Mdudu – Fuko la bange | Download
5: Vairas Mdudu – Punguza Mapozi | Download
6: Vairas Mdudu ft Jeusi Mc – NAPIGA GUU | Download


