Breaking News

EP | Msomali - Vitamini Music

Download | Play Now


EP hii ina nyimbo 6, zinazobeba mchanganyiko wa muziki wa Singeli, Bongo Fleva, Mchiriku, na ladha ya Afro-Urban. Msomali anazungumza kwa hisia kali kuhusu maisha ya kawaida, mapenzi ya mitaani, changamoto za kifamilia na uchungu wa kuachwa – yote kwa lugha ya Kiswahili safi na beat kali.


2: Msomali ft. Don breezy - Anitaki | Download


4: Msomali - Tumeachana | Download


6: Msomali - Imba | Download

No comments