Breaking News

iPHONE 17 mbili zimeenda MTWARA na MKURANGA!

Download | Play Now


Kampeni kubwa ya BUTUA NA AFCON kutoka KingBet inaendelea kumwaga mizawadi kwa kishindo, na tayari washindi wa iPHONE 17 mbili wamepatikana kwenye droo iliochezeshwa Leo, Hii ni uthibitisho mwingine kwamba KingBet si maneno tu ila wakisema wanatenda bila longo-longo!

Washindi hao ni Hamisi Abdallah kutoka Mtwara na Iddy Gunda kutoka Mkuranga. , ambaye ameondoka na zawadi kali kabisa 👉🏽 iPHONE 17 pamoja na Router ya Airtel yenye bando la mwezi mzima. Ushindi huu unaonesha wazi kuwa kampeni ya BUTUA NA AFCON kutoka KingBet imeanza kudondosha ushindi kwa wafalme wake wanaobashiri kupitia Airtel na zawadi zinaendelea kushuka kama mvua.

Zawadi inayofata ni BODA BODA mpyaa yaani kitu ndani ya makaratasi kinakusubiri!!!! Sasa kushinda ni rahisi sana

👉🏽 Kujisajili kupitia www.kingbet.co.tz

👉🏽 Kuweka pesa kwenye akaunti yake kupitia Airtel Money

👉🏽 Kisha kusuka jamvi lenye angalau mechi moja ya AFCON

Baada ya hapo, mchezaji anaingia moja kwa moja kwenye nafasi ya kushinda

No comments