KINGBET IMEKABIDHI SIMU KWA WASHINDI WAKE
KingBet imekabidhi zawadi ya simu janja aina ya Samsung A17 kwa washindi wa wiki ya kwanza ya kampeni kubwa inayoitwa BUTUA KWA BUKU, inayolenga kurudisha shukrani kwa wateja wapya na wa zamani kwa kuwapa nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo BAJAJI, TV, FRIJI na nyingine nyingi kwa kubeti kwa dau la BUKU tuu.
Kampeni hiyo imetangazwa kudumu kwa miezi miwili, ambapo itatamatika mwishoni mwa mwezi wa tano. Lengo lake ni kuwapa fursa Watanzania wote wanaobashiri kupitia KingBet kushinda zawadi kubwa.
Vigezo vya kushinda ni rahisi sana:
Jisajili au ingia kwenye akaunti yako ya www.kingbet.co.tz kisha suka mkeka wako kwa BUKU au zaidi, halafu subiri simu ya ushindi!
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na huduma kwa wateja wa KingBet kupitia:
Simu: 0222226666

No comments